Bruce Lee
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lee Jun Fan (anajulikana zaidi kwa jina la Bruce Lee; alizaliwa tarehe 27 Novemba 1940 nchini China na kufariki dunia tarehe 20 Julai 1973) alikuwa msanii wa upambanaji mwenye asili ya China na marekani. Staili yake aliyokuwa akitumia aliita Jeet Kune Do.
Alikuwa pia mcheza sinema mahiri. Kati ya sinema zilizompatia sifa na umaarufu mkubwa duniani ni ile ya Enter the Dragon.