BremerhavenFrom Wikipedia, the free encyclopedia Bremerhaven ni mji wa jimbo la Bremen nchini Ujerumani. Bremerhaven mnamo Julai 2013 Iko mdomoni mwa mto Weser kwenye mwambao wa Bahari ya Kaskazini, na ni bandari muhimu ya Ujerumani. Wakazi wake ni 113,634 (mwishoni mwa 2018).
Bremerhaven ni mji wa jimbo la Bremen nchini Ujerumani. Bremerhaven mnamo Julai 2013 Iko mdomoni mwa mto Weser kwenye mwambao wa Bahari ya Kaskazini, na ni bandari muhimu ya Ujerumani. Wakazi wake ni 113,634 (mwishoni mwa 2018).