Kinywa
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kinywa au mdomo ni uwazi ndani ya kichwa mwenye shughuli tofauti kwa binadamu na wanyama wengi wenye uti wa mgongo.
Kinapatikana kwa karibu wanyama wote wenye seli nyingi lakini kwa wanyama sahili kazi yake ni kuingiza chakula pekee.
Sehemu za kinywa cha binadamu ni pamoja na: meno, ulimi na fizi.
Neno mdomo hutumika pia kwa sehemu ya mto ambako unaishia kwa kuingia katika bahari, ziwa au, kama ni tawimto, katika mto mkubwa zaidi. Kisawe ni mlango wa mto.
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinywa kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.