BragaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Braga (kifupisho cha jina la Kilatini Bracara Augusta) ni mji wa Ureno kaskazini-magharibi. Una wakazi 137,000.[1] Hivyo ni wa saba kati ya miji ya Ureno. Eneo lake ni la km² 183.40 .[2] Sehemu ya Bom Jesus katika Mji wa Braga mnamo mwaka 2017
Braga (kifupisho cha jina la Kilatini Bracara Augusta) ni mji wa Ureno kaskazini-magharibi. Una wakazi 137,000.[1] Hivyo ni wa saba kati ya miji ya Ureno. Eneo lake ni la km² 183.40 .[2] Sehemu ya Bom Jesus katika Mji wa Braga mnamo mwaka 2017