From Wikipedia, the free encyclopedia
Saba ni namba ambayo inafuata sita na kutangulia nane. Kwa kawaida inaandikwa 7 lakini VII kwa namba za Kiroma na ٧ kwa zile za Kiarabu.
7 ni namba tasa.
Namba hiyo katika Kiswahili ina asili ya Kiarabu pamoja na sabini (saba mara kumi).
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Saba (namba) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.