From Wikipedia, the free encyclopedia
Bitare, wakati mwingine hujulikana kama Kitale, ni kata ya utawala ndani ya Jimbo la Muhambwe katika Wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma, nchini Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 9,619 [1]. Mwaka 2016 ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Tanzania ilikuwa na watu 11,553 katika kata hiyo [2]:125[3]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,496 waishio humo.[4]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.