Bielefeld
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bielefeld ni jiji lililopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Ujerumani. Jiji lipo katika jimbo la Rhine Kaskazini - Westfalia. Mji wa Bielefeld una wakazi wapatao 330,000 wanaoishi mji hapa. Mji pia una Chuo Kikuu cha Bielefeld.
Bielefeld | |
Mahali pa Bielefeld katika Ujerumani |
|
Majiranukta: 52°01′00″N 08°31′00″E | |
Nchi | Ujerumani |
---|---|
Jimbo | Rhine Kaskazini - Westfalia |
Idadi ya wakazi (2009) | |
- Wakazi kwa ujumla | 323,084 |
Tovuti: http://www.bielefeld.de/en/ |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bielefeld kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.