From Wikipedia, the free encyclopedia
Bergisch Gladbach ni mji uliopo nchini Ujerumani katika jimbo la Rhine Kaskazini-Westfalia. Mji upo karibu na mji wa Cologne na una wakazi takriban 110,016 waishio katika mji huo.
Bergisch Gladbach | |
Mahali pake katika Ujerumani |
|
Majiranukta: 51°06′00″N 07°07′00″E | |
Nchi | Ujerumani |
---|---|
Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia |
Idadi ya wakazi (2009) | |
- Wakazi kwa ujumla | 105,699 |
Tovuti: http://www.bergischgladbach.de/ |
Mji wa Bergisch Gladbach upo mjini mashariki mwa Mto Rhine, kilomita kumi mashariki kwa mji wa Cologne.
Kwa kuanzia kaskazini mwa mji huu, miji ya jirani na mji huu ni: Odenthal, Kürten, Overath, Rösrath, Cologne na Leverkusen.
Makazi ya awali yalianza tangu kunako karne ya 13, lakini mji ulitambuliwa rasmi mnamo mwaka wa 1856.
Neno “Bergisch” linatokana na asili ya eneo lake la Berg na ulipangwa kuondolewa katika Mönchengladbach. Mnamo mwaka wa 1975, mji huu ukishirikiana na mji wa jirani yake wa Bensberg na ulipofikia idadi ya watu 100,000 mnamo 1977 ukapewa heshima kuwa jiji.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bergisch Gladbach kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.