Bega wa Andenne
mtakatifu mkristo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Bega wa Andenne (613; Andenne, leo nchini Ubelgiji, 17 Desemba 693) alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, baada ya kuolewa na kuzaa watoto watatu[1], alipobaki mjane alianzisha monasteri akaiendesha kama abesi hadi kifo chake[2][3][4].
Kaisari Karolo Mkuu alikuwa kilembwe wake.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Desemba[5]..