Avengers: Endgame ni filamu iliyotolewa mnamo mwaka 2019 na kampuni ya kutengeneza filamu ya nchini Marekani iitwayo Marvel studios, huku ikisambazwa na Walt Disney Studios Motion Pictures.
Avengers: Endgame | |
---|---|
Nyota | Robert Downey, Jr.,
Chris Evans, Mark Ruffalo, Chris Hemsworth, Scarlett Johansson, Jeremy Renner, Don Cheadle, Paul Rudd, Brie Larson, Karen Gillan, Danai Gurira, Benedict Wong, Jon Favreau Bradley Cooper Gwyneth Paltrow Josh Brolin Elizabeth Olsen Letitia Wright |
Muziki na | Alan Silvestri |
Imehaririwa na | Jeffrey Ford
Matthew Schmidt |
Imesambazwa na | Walt Disney Studios Motion Pictures |
Imetolewa tar. | Aprili 22, 2019 |
Ina muda wa dk. | Dakika 181 |
Lugha | kingereza. |
Bajeti ya filamu | $356-$400 million (dola za kimarekani 356 kwenda 400) |
Ilitanguliwa na | Captain Marvel (27th February 2019) |
Ikafuatiwa na | WandaVision (kama tamthlia) na Black Widow (June 2021) |
Filamu hii imeundwa kulingana na visa vilivyoandikwa kwenye vitabu vya hadithi vya Marvel juu ya jumuiya ya mashujaa wa kifilamu waitwao Avengers. Filamu hii ni mwendelezo wa filamu za The Avengers (2012), Avengers: Age of Ultron (2015) na Avengers: Infinity War (2018) na pia ni filamu ya ishirini na mbili kati ya zilizotoleiwa na Marvel cinematic universe (MCU).
Filamu hii imeandikwa na Christopher Markus pamoja na Stephen McFeely, filamu hii ina wahusika kama vile Robert Downey Jr., Chris Evans, Mark Ruffalo, Chris Hemsworth, Scarlett Johansson, Jeremy Renner, Don Cheadle, Paul Rudd, Brie Larson, Karen Gillan, Danai Gurira, Benedict Wong, Jon Favreau, Bradley Cooper, Gwyneth Paltrow, na Josh Brolin. Katika filamu wahusika ambao waliendelea kuishi wanajaribu kulipiza kisasi kwa Thanos ambaye aliwaua baadhi ya wahusika katika filamu ya Avengers: Infinity War.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Avengers: Endgame kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.