Armagedoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Armagedoni (kwa Kigiriki Ἁρμαγεδών, Harmagedōn,[1][2] [3] kutoka Kiebrania: הר מגידו, Har Megiddo) ni mahali pa Israeli kaskazini ambapo pametajwa na kitabu cha Ufunuo 16:16 kuwa patakuwepo mapigano makubwa ya mwisho kati ya wema na uovu.