Argentina
From Wikipedia, the free encyclopedia
Argentina ni nchi kubwa ya pili ya Amerika Kusini. Ina eneo la km² 2,780,400 kati ya milima ya Andes upande wa magharibi na Bahari ya Atlantiki upande wa mashariki.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: En Unión y Libertad ("Katika umoja na uhuru") | |||||
Wimbo wa taifa: Oíd, mortales, el grito sagrado: Sikilizeni mlio mtakatifu ewe ninyi wenye kufa | |||||
Mji mkuu | Buenos Aires 34°20′ S 58°30′ W | ||||
Mji mkubwa nchini | Buenos Aires | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali Rais |
Jamhuri Javier Mikei | ||||
Uhuru Mapinduzi ya Mei Tangazo la uhuru wa Argentina imetambuliwa |
25 Mei 1810 9 Julai 1816 1821 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,780,400¤ km² (ya 8) 1.1 | ||||
Idadi ya watu - 2014 kadirio - 2010 sensa - Msongamano wa watu |
42,669,500 (ya 32) 40,117,096 14.4/km² (ya 212) | ||||
Fedha | Peso ya Argentina (ARS ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
ART (UTC-3) ARST (UTC-3) | ||||
Intaneti TLD | .ar | ||||
Kodi ya simu | +54
- | ||||
¤ Argentina ina fitina na Uingereza kuhusu visiwa vya Falkland (Malvina), Visiwa vya South Georgia na South Sandwich na sehemu ya Antaktika. |
Funga
Imepakana na Paraguay, Bolivia, Brazil, Uruguay na Chile.
Kuna madai dhidi ya Uingereza juu ya visiwa vya Falkland (Malvina), Visiwa vya South Georgia na South Sandwich na sehemu ya Antaktika.