Ararat, ArmeniaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Ararat (kwa Kiarmenia: Արարատ; zamani uliitwa Davalu) ni mji uliopo nchini Armenia kwenye mkoa wa Ararat, takriban km 42 kutoka mjini kaskazini-magharibi mwa mji wa Yerevan. Hapa ndipo katikati ya sekta ya ujenzi na kituo cha reli. Makumbusho ya vita vya pili vya dunia, Ararat
Ararat (kwa Kiarmenia: Արարատ; zamani uliitwa Davalu) ni mji uliopo nchini Armenia kwenye mkoa wa Ararat, takriban km 42 kutoka mjini kaskazini-magharibi mwa mji wa Yerevan. Hapa ndipo katikati ya sekta ya ujenzi na kituo cha reli. Makumbusho ya vita vya pili vya dunia, Ararat