Anatropia Lwehikila Theonest
mwanasiasa wa tanzania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Anatropia Lwehikila Theonest (amezaliwa tarehe 21 Januari 1983) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1]