![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/27/Anatolios.jpg/640px-Anatolios.jpg&w=640&q=50)
Anatoli wa Konstantinopoli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Anatoli wa Konstantinopoli (Aleksandria, Misri, karne ya 4 - Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 3 Julai 458) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 449 hadi kifo chake.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/27/Anatolios.jpg/320px-Anatolios.jpg)
Baada ya kukiri imani sahihi kadiri ya barua ya Papa Leo I kwa Flaviano katika Mtaguso wa Efeso (431)[1], alifanya ithibitishwe na Mtaguso wa Kalsedonia (451)[2].
Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi tangu kale kama mtakatifu.