Aminata Touré (mwanasiasa Mjerumani)
mwanasiasa Mjerumani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Aminata Touré (amezaliwa 15 Novemba 1992) ni mwanasiasa Mjerumani wa chama cha Alliance '90/The Greens. Alichaguliwa tarehe 29 Juni 2017 kuwa mbunge wa kijimbo wa Schleswig-Holstein. Alikuwa kijana wa miaka 25 wakati wa uchaguzi alihudumu kama makamu wa spika wa bunge hadi 2022. [1] [2] [3] Mwaka 2022 aliteuliwa kuwa waziri wa Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Jimbo la Schleswig-Holstein.
Ukweli wa haraka tarehe ya kuzaliwa, utaifa ...
Aminata Touré | |
Touré in 2018 | |
Member of the Bunge la Schleswig-Holstein | |
Aliingia ofisini 29 June 2017 | |
Vice-President of the Bunge la Schleswig-Holstein | |
Muda wa Utawala 28 August 2019 – 07 June 2022 | |
tarehe ya kuzaliwa | 15 Novemba 1992 (1992-11-15) (umri 31) Neumünster, Ujerumani |
---|---|
utaifa | Ujerumani |
chama | Chama cha Kijani cha Ujerumani |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Kiel |
tovuti | aminata-toure.de |
Funga