![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/83/Amina_Salum_Ali.jpg/640px-Amina_Salum_Ali.jpg&w=640&q=50)
Amina Salum Ali
Mwanasiasa wa Tanzania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Amina Salum Ali (alizaliwa tarehe 24 Oktoba mnamo 1956)[1] ni mwanamke mtanzania aliyewahi kuwa balozi wa Umoja wa Afrika huko Marekani tangu mwaka 2007.[2]
Ukweli wa haraka Rais, tarehe ya kuzaliwa ...
Amina Salum Ali | |
![]() | |
Balozi wa Umoja wa Afrika nchini Marekani | |
Aliingia ofisini 26 Julai 2007 | |
Muda wa Utawala 1990 ā 2000 | |
Rais | Salmin Amour |
---|---|
tarehe ya kuzaliwa | 24 Oktoba 1956 (1956-10-24) (umri 67) Sultanate of Zanzibar |
mhitimu wa | University of Delhi (BA) University of Pune (MBA) |
tovuti | aminasali.com |
Funga