Amina Iddi Mabrouk
From Wikipedia, the free encyclopedia
Amina Iddi Mabrouk ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha Mapinduzi CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar kwa miaka 2015 – 2020. [1]