Amalek (kwa Kiebrania עֲמָלֵק, ʻĂmālēq [1]) ni jina linalopatikana katika Biblia ya Kiebrania, kwa hiyo pia katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo, kuhusu mjukuu mmojawapo wa Esau, kabila la wahamaji lililotokana naye (Waamaleki), na maeneo yaliyokaliwa nao[2] (Negev, Moabu na jangwa la Sinai) ambayo katika karne ya 14 KK yalikuwa na wakazi wachache sana.

Thumb
Mchoro wa Gustave Doré, Kifo cha Agag. Inawezekana "Agag" lilikuwa jina la kurithiwa la wafalme wote wa Amalek. Aliyechorwa aliuawa na Samweli (1 Sam 15).

Waisraeli walipohama Misri, Waamaleki walikuwa wa kwanza kupigana nao[3] wakawa maadui wao wa kudumu mpaka walipoangamizwa na mfalme Sauli.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.