Aleppo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Aleppo (kwa Kiarabu: ﺣﻠﺐ, Ḥalab) ni jiji la Syria ambalo kabla ya vita vya wenyewe kwa wenyewe lilikuwa na wakazi milioni 4.6 (2010)[1]. Kwa sasa si tena mji mkubwa na nchi, bali wa pili baada ya mji mkuu, Damascus.
Aleppo ni kati ya miji ya zamani zaidi duniani, akikaliwa tangu milenia ya 6 KK.[2] labda kutokana na biashara kati ya Mediteranea na Mesopotamia.
Mji wa Kale umo katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO.