Aelredo wa Rievaulx
From Wikipedia, the free encyclopedia
Aelredo wa Rievaulx (pia: Ailred, Ælred, na Æthelred; kwa Kilatini: Aelredus Riaevallensis; Hexham, Northumbria, 1110[1] – 12 Januari 1167) alikuwa abati wa Rievaulx huko Northumberland, Uingereza tangu mwaka 1147 hadi kifo chake[2] a position he was to hold until his death. Under his administration, the abbey is said to have grown to some 140 monks and 500 conversi and laymen.[3].
Baada ya kulelewa katika ikulu ya mfalme wa Uskoti, alijiunga na Wamonaki Wasitoo na, kisha kuwa mwalimu maarufu wa maisha ya kitawa[4], kwa matendo na maandishi yake bora alihamasisha kwa bidii na upendevu urafiki na Kristo katika safari ya kiroho.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waanglikana kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Januari.[5]