Adolf Mkenda
Waziri wa Kilimo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Adolf Faustine Mkenda (alizaliwa Rombo, Kilimanjaro, mwaka 1963), ni Waziri wa Elimu wa Tanzania. Profesa mshirika wa Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mwanasiasa ambaye kwa sasa ni mbunge wa Chama Cha Mapinduzi wa jimbo la Rombo tangu Novemba 2020.