Makala hii inahusu mwaka 1993 BK (Baada ya Kristo).
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980 |
Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1989 |
1990 |
1991 |
1992 |
1993
| 1994
| 1995
| 1996
| 1997
| ►
| ►►
Matukio
- 1 Januari - Nchi ya Chekoslovakia inagawanyika kuwa nchi huru mbili, yaani Ucheki na Slovakia.
Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 14 Juni - Thomas Ulimwengu, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
- 22 Septemba - Carlos Knight, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2 Oktoba - Simon Msuva, mcheza mpira wa Tanzania
bila tarehe
- Phiona Mutesi, mchezaji wa sataranji kutoka Uganda
Waliofariki
- 6 Januari - Dizzy Gillespie, mwanamuziki kutoka Marekani
- 11 Februari - Robert Holley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 20 Machi - Polykarp Kusch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1955
- 24 Machi – John Hersey, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1945
- 11 Aprili - Janet Bragg, rubani wa kike kutoka Marekani
- 13 Aprili – Wallace Stegner, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1972
- 18 Aprili - Masahiko Kimura, mwanariadha kutoka Japani
- 24 Aprili - Oliver Tambo, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 19 Juni - William Golding, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1983
- 31 Oktoba - Federico Fellini, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 1 Novemba - Severo Ochoa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959
- 7 Desemba - Wolfgang Paul, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.