Wiliamu wa Dijon
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wiliamu wa Dijon (pia: wa Volpiano au wa Fecamp; Volpiano, Piemonte, Italia Kaskazini, Juni/Julai 962 - 1 Januari 1031) alikuwa Mbenedikto[1] aliyepigania urekebisho wa utawa akawa abati mwanzilishi wa monasteri arubaini katika Italia na Ufaransa wa leo, ambaye katika miaka ya mwisho wa maisha yake aliongoza kwa uimara na busara wamonaki wenzake wengi sana waliotawanyika katika monasteri hizo. [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.