Wafiadini wa Ijumaa Kuu wa Aleksandria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wafiadini wa Ijumaa Kuu wa Aleksandria (walifariki 339) walikuwa Wakristo wa Aleksandria (Misri) ambao waliuawa makanisani siku ya Ijumaa Kuu wakati wa dhuluma ya kaisari Constans I kwa kushikilia imani sahihi na kukataa Uario.
Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 21 Machi[1][2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.