From Wikipedia, the free encyclopedia
Volodymyr Ivanovych Vernadsky (alizaliwa 12 Machi 1863 - 6 Januari 1945) alikuwa mwanakemia[1][2][3] wa Urusi,[4] na mwanakemia wa madini na mwanajiolojia wa Soviet ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa waanzilishi wa geochemistry, biogeochemistry, na radiogeology. Pia anajulikana kama mwanzilishi wa Chuo cha Sayansi huko Ukraina[5][6] (kwasasa kinajulikana kama Chuo Kikuu cha Taifa cha Sayansi cha Ukraina).[7] Amejulikana sana kwa kitabu chake cha 1926 The Biosphere. Ambapo alifanya kazi ya kueneza neno la Eduard Suess la 1885 kuwa maisha ni nguvu ya jiolojia inayoiunda dunia. Mwaka wa 1943, alipokea Tuzo ya Stalin.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.