From Wikipedia, the free encyclopedia
Uzoamaka Nwanneka "Uzo" Aduba[1] (alizaliwa Februari 10, 1981)[2] ni mwigizaji wa Nigeria na Amerika. Anajulikana kwa jukumu lake kama Crazy Eyes (character)|Suzanne "Crazy Eyes" Warren kwenye filamu za Netflix katika safu za Orange Is the New Black (2013–2019), ambayo alishinda Tuzo ya Primetime Emmy Award for Outstanding Guest Actress in a Comedy Series|Emmy Award for Outstanding Guest Actress in a Comedy Series mnamo 2014, na Primetime Emmy Award for Outstanding Supporting Actress in a Drama Series|Emmy Award for Outstanding Supporting Actress in a Drama Series mnamo 2015, na tuzo mbili za Screen Actors Guild Award for Outstanding Performance by a Female Actor in a Comedy Series|Screen Actors Guild Awards for Outstanding Performance by a Female Actor in a Comedy Series mnamo 2014 na 2015.[3] Yeye ni mmoja wa waigizaji wawili kushinda Tuzo ya Emmy katika vikundi vyote vya ucheshi na mchezo wa kuigiza kwa jukumu moja, mwingine akiwa Ed Asner kama mhusika Lou Grant.[4]
Aduba alionekana kwenye filamu kama vile American Pastoral (film)|American Pastoral (2016), Showing Roots (2016), My Little Pony: The Movie (2017 film)|My Little Pony: The Movie (2017), Candy Jar (2018) and Miss Virginia (film)|Miss Virginia (2019).mnamo 2020, alicheza kama Shirley Chisholm katika safu fupi ya Hulu Mrs. America (miniseries)|Mrs. America, ambayo alishinda tuzo ya Primetime Emmy Award for Outstanding Supporting Actress in a Limited Series or Movie.
Aduba alizaliwa Boston, ambapo wazazi wapo Nigeria. Alikulia katika Medfield, Massachusetts|Medfield, Massachusetts,[5] na alihitimu katika Medfield High School mwaka 1999.[6] Pia alihudhuria Boston University, ambapo alisomea where classical voice[7] na alimaliza katika track and field.[8][9] Alielezea familia yake kama "sports family".[7] Kaka yake mdogo, Obi, anacheza mchezo wa magongo katika University of Massachusetts Amherst na pia alienda kucheza filamu sita kitaalamu. [10]
Aduba alipata kutambuliwa kwa mara ya kwanza kwa uigizaji wake mnamo 2003, wakati uigizaji wake katika Translations of Xhosa[11] kwenye Olney Theatre Center for the Arts akashinda tuzo yake ya Helen Hayes Award na uteuzi ya muigizagi mshirikishi katika tamthilia.[12] Aduba alicheza mhusika Amphiarus mwaka 2006 katika New York Theatre Workshop na tena mnamo mwaka 2008 katika La Jolla Playhouse. mwaka 2007,pia aliigiza kama Toby kwenye Helen Edmundson kwa mabadiliko ya Coram Boy (play)|Coram Boy kwenye Imperial Theatre.[13] Kutoka mwaka 2011 kuelekea 2012, aliimba "By My Side" kama sehemu ya Godspell kwenye Circle in the Square|Circle in the Square Theatre.[14][15] Alionekana mara ya kwanza kwenye televisheni kama nesi katika Blue Bloods (TV series)|Blue Bloods mnamo 2012.[7] Alicheza kama mama wa Venice katika The Public Theater huko New York.[16][17]
Mwezi April 2017, Aduba alipokea tuzo ya ujasiri kutoka kwa Point Foundation kwa msaada wake kwa jamii ya LGBT.[18] Mnamo mwezi Juni 2018, Aduba alikuwa Heifer International barani Afrika. Aliona athari ya kwanza ya Heifer katika ziara za shamba za 2016 na 2018 nchini Uganda.[19]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.