Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

From Wikipedia, the free encyclopedia

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyereremap
Remove ads

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (IATA: DAR, ICAO: HTDA) mjini Dar es Salaam ni kiwanja cha ndege kikubwa na muhimu zaidi nchini Tanzania. Kipo kilomita 12 kutoka kitovu cha jiji upande wa kusini magharibi.

Ukweli wa haraka Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere English: Julius Nyerere International Airport, Muhtasari ...
Remove ads
Thumb
Julius Nyerere International Airport Terminal III wakati wa usiku - Novemba 2019.
Thumb
Mahali panapofikiwa kutoka Dar es Salaam.

Jina lake limetolewa kwa heshima ya baba wa taifa, Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa nchi.

Abiria 2,385,456 walipita humo mwaka 2017.

Kuna barabara kubwa kwa ndege yenye urefu wa mita 3,000 na nyingine ya mita 1,000.

Tarehe 1 Agosti 2019 ilifunguliwa terminal ya 3 kwa ajili ya safari za kimataifa[1].

Maelezo zaidi Makampuni ya ndege, Vifiko 
 ...
Remove ads

Tanbihi

Loading content...

Viungo vya nje

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads