From Wikipedia, the free encyclopedia
Tom na Jerry ni washindi wa tuzo ya Oscars (Academy Award) kama mfululizo wa vikatuni bora vilivyokuwa vinatayarishwa na kampuni ya Metro-Goldwyn-Mayer.
Tom na Jerry | |
---|---|
| |
Imeongozwa na | William Hanna na Joseph Barbera |
Imetungwa na | William Hanna na Joseph Barbera |
Imetaarishwa na | Rudolf Ising (seh. ya kwanza) Fred Quimby (seh. ya 95) |
Muziki na | Scott Bradley (seh. ya 113) Edward Plumb (seh. ya 73) |
Muda wake | dk.6 hadi 9 (kwa sehemu) |
Imetolewa tar. | 1940 - 1958 |
Nchi | Marekani |
Lugha | Kiingereza |
Hadithi inayosimuliwa ni mara kwa mara majaribio ya paka Tom kumshika panya Jerry bila kufaulu.
Katuni nyingi za Tom na Jerry zilikuwa zinatengenezwa fupifupi. Tom na Jerry ilitungwa na kuongozwa na William Hanna na Joseph Barbera. Katuni laki moja na kumi na nne za Tom na Jerry zilitaarishwa na studio ya katuni iitwayo MGM iliyopo mjini Hollywood kuanzia mwaka 1940 hadi 1957, ambapo kitngo cha katuni katika MGM kilipofungwa.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.