Tom Lennox
From Wikipedia, the free encyclopedia
Thomas "Tom" Lennox ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Peter MacNicol. Alianza kuonekana katika msimu wa sita wa mfululizo huu, na alikuwa akifanya kazi kama Mkubwa wa Wafanyakazi wa Ikulu ya Marekani. Huyu ndiye aliyemshauri Wayne Palmer kugombea Urais.
Tom Lennox | |
---|---|
muhusika wa 24 | |
![]() Peter MacNicol kama Tom Lennox | |
Imechezwa na | Peter MacNicol |
Mionekano | 6, Redemption |
Maelezo |
Viungo vya Nje
- Character biography Ilihifadhiwa 20 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine. on the official 24 website
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.