Mcheza tenisi wa Ufaransa From Wikipedia, the free encyclopedia
Suzanne Lenglen (24 Mei 1899 – 4 Julai 1938) alikuwa mchezaji maarufu wa tenesi wa Ufaransa aliyeibuka na umaarufu katika miaka ya 1920 kwa kushinda michuano kadhaa, ikiwemo sita ya Wimbledon.
Alivunja vizuizi vya kijinsia katika michezo na alikuwa na mtindo wa pekee wa uchezaji. Alistaafu mwaka 1926[1].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.