From Wikipedia, the free encyclopedia
Spice ni albamu ya kwanza ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Albamu ilitolewa mnamo tar. 4 Novemba katika mwaka wa 1996 na studio ya Virgin Records.Albamu ilirekodiwa kwenye studio za Olympic Studio ya mjini Barnes, London kati ya mwaka 1995 na 1996, na watayarishaji kama vile Matt Rowe, Richard Stannard, Eliot Kennedy na watayarishaji wawili wajulikanao kwa jina la Absolute.
Spice | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Spice Girls | |||||||||||
Imetolewa | 4 Novemba 1996 | ||||||||||
Imerekodiwa | 1995 – 1996 | ||||||||||
Aina | Pop, R&B, dance | ||||||||||
Urefu | 40:07 | ||||||||||
Lebo | Virgin | ||||||||||
Mtayarishaji | Matt Rowe, Richard Stannard, Eliot Kennedy, Absolute | ||||||||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||||||||
Wendo wa albamu za Spice Girls | |||||||||||
|
Single tano zilitolewa kutoka katika alabmu hii: "Wannabe", "Say You'll Be There", "2 Become 1", "Who Do You Think You Are" na "Mama"; "Who Do You Think You Are" na "Mama" zilitolewa kama A-side na B-side kwa upande wa Uingereza, Ireland na nchi zingine. Single ya kwanza, "Wannabe", imekwenda shika nafasi ya kwanza katika nchi takriban 31, na single ya pili, "Say You'll Be There" na "2 Become 1", zimeshika nafasi ya kwanza katika nchi zipatazo 53.[1] "Who Do You Think You Are" ilitolewa kama single rasmi ya Comic Relief kwa upande wa UK ikiwa kama double A-side pamoja na "Mama" na nyimbo zote mbili zilifikia kilele cha chati za 20 bora katika Ulaya, Australia na New Zealand.
Spice walipata mafanikio makubwa sana ulimwengu. Albamu ilitunukiwa Platinum 10 nchini UK na British Phonographic Industry na nchini Canada na Canadian Recording Industry Association, Platinum 8 kwa upande wa Ulaya zilitolewa na International Federation of the Phonographic Industry katika tuzo zao za mwaka wa 1997 mashuhuri kama European music awards, na 7x Platinum kwa upande Marekani zilitolewa na Recording Industry Association of America. Kwa ujumla, albamu imeuza kopi milioni 23 kwa hesabu ya dunia nzima, na kuifanya iwe albamu iliouza vizuri katika historia ya makundi ya muziki kwa upande wa wasichana.[2][3]
# | Jina | Mtunzi (wa) | Urefu |
---|---|---|---|
1. | "Wannabe" | Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe | 2:52 |
2. | "Say You'll Be There" | Spice Girls/Elliott Kennedy. Imetayarishwa na: Absolute | 3:56 |
3. | "2 Become 1" | Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe | 4:00 |
4. | "Love Thing" | Spice Girls/Elliott Kennedy. Imetayarishwa na: Absolute | 3:37 |
5. | "Last Time Lover" | Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute | 4:11 |
6. | "Mama" | Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe | 5:03 |
7. | "Who Do You Think You Are" | Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute | 3:59 |
8. | "Something Kinda Funny" | Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute | 4:02 |
9. | "Naked" | Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute | 4:26 |
10. | "If U Can't Dance^" | Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe | 3:50 |
11. | "Seremos Uno Los Dos^^" | Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe | 4:00 |
Chati[4] | Nafasi Iliyoshika |
Matunukio | Mauzo/Usafirishaji[5] |
---|---|---|---|
Argentina | 1 | 3× Platinum | 170,000 |
Australia | 3 | 6× Platinum[6] | 420,000 |
Austria | 1 | Platinum[7] | 50,000 |
Belgium | 3× Platinum[8] | 150,000[9] | |
Brazil | - | 2× Platinum[10] | 500,000 |
Canada | 1 | 10× Platinum (Diamond)[11] | 1 million[12] |
Chile | 1 | 4× Platinum | 90,000 |
Europe | 1 | 8× Platinum[13] | 9.4 million[14] |
Finland | 4 | 2× Platinum[15] | 76,000[16] |
France | 2 | 3× Platinum[17] | 1.05 million[18] |
Germany | 6 | 3× Gold[19] | 450,000 |
Italy | 2 | 5× Platinum[20] | 500,000[9] |
Japan | 3× Platinum[21] | 1 million[9] | |
Hong Kong | Platinum | 40,000[9] | |
Mexico | Gold[22] | 100,000[23] | |
Netherlands | 1 | 3× Platinum[24] | 300,000 |
New Zealand | 1 | 6× Platinum[9] | 90,000[9] |
Norway | 1 | 2× Platinum[25] | 80,000 |
Hispania | 1 | 11× Platinum (Diamond)[26] | 1.10 million[27] |
Sweden | 1 | 2× Platinum[28] | 120,000 |
Switzerland | 5 | 2× Platinum[29] | 100,000 |
United Kingdom | 1 | 10× Platinum (Diamond)[30] | 3.02 million[31][32] |
Marekani | 1 | 7× Platinum[33] | 7.4 million[34] |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.