Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Shijo (17 Machi, 1231 – 10 Februari, 1242) alikuwa mfalme mkuu wa 87 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Mitsuhito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Go-Horikawa. Mwaka wa 1232 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kifo chake kwa ajali. Aliyemfuata kama Tenno ni Go-Saga.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shijo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.