Go-Horikawa wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Go-Horikawa wa Japani

Go-Horikawa (22 Machi, 1212 31 Agosti, 1234) alikuwa mfalme mkuu wa 86 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yutahito, na alikuwa mjukuu wa Tenno Takakura. Mwaka wa 1221 alimfuata binamu yake Chukyo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1232. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Shijo.

Thumb
Mchoro wa Go-Horikawa

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Horikawa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.