From Wikipedia, the free encyclopedia
Senan wa Inis Cathaigh (jina kamili kwa Kieire: Senán mac Geircinn; Moylougha, 488 - Inis Cathaigh, 544) alikuwa mmonaki padri wa Ireland na abati mwanzilishi wa Inis Cathaigh, kisiwa cha Scattery[1].
Anahesabiwa kati ya Mitume kumi na wawili wa Ireland.
Tangu kale anaadhimishwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe 8 Machi, sikukuu yake[2].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.