Sargon Mkuu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sargon Mkuu (kwa Kiakadi: Šarru-ukīn au Šarru-kēn, anayejulikana pia kama Sargon wa Akkad)[4] alikuwa mtawala wa kwanza wa Dola la Akad, maarufu kwa kuteka miji-dola ya Wasumeri katika karne ya 24 - 23 KK.[3]
Nasaba yake ilitawala miaka 100 hivi baada ya kifo chake.[5]
Inadhaniwa kuwa dola lake lilienea katika Mesopotamia na hata nje yake kutoka mji wa Akkad (pia: Agade).

Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads