Sanduku la agano

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sanduku la agano

Sanduku la Agano (kwa Kiebrania אָרוֹן הַבְּרִית ʾĀrôn Habbərît, kisasa Aron Habrit) au Ushuhuda ni sanduku lililozungumziwa katika Kitabu cha Kutoka 25:10-22.

Kadiri yake lilikuwa na mbao mbili za mawe zilizoandikwa Amri 10 ambazo Musa alipewa na Mungu kama masharti makuu ya Agano kati yake na Israeli.

Inawezekana vilikuwemo pia fimbo la Haruni na mana kidogo, ingawa 2Waf 8:9 inasema wakati wa Solomoni hivyo havikuwemo.

Thumb
Sanduku lililofunikwa likibebwa na makuhani wakati wa kuvamia Yeriko chini ya Yoshua.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.