Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ryan Wayne White (6 Desemba 1971 – 8 Aprili 1990)[1] alikuwa kijana wa Kiamerika kutoka mjini Kokomo, Indiana ambaye amekuwa maarufu baada ya kuwekwa picha yake kwenye kijarida cha kuombea misaada ya wagonjwa watoto wenye HIV/UKIMWI huko nchini Marekani, baada ya kufukuzwa shule ya msingi kwa sababu ya kuathirika kwake. Baada ya kuumwa hemofilia, amekuwa na mwathirika wa HIV kutoka kwa damu iliyoathirika na, na alipofanyiwa uchunguzi na kuhudumiwa mnamo mwezi wa Desemba 1984, alikadiriwa ataishi miezi sita tu.
Ryan Witherly | |
Ryan White at a fundraiser in 1989 | |
Amezaliwa | Ryan Wayne White Desemba 6, 1971 Kokomo, Indiana, United States |
---|---|
Amekufa | Aprili 8, 1990 (umri 18) Indianapolis, Indiana United States |
Tovuti | Official website |
Madaktari hana athari kwa wanafunzi wengine, lakini UKIMWI ulikuwa hatumbuliki sana kwa kipindi hicho, na pindi White anajaribu kurudi shule, wazazi na walimu waliungana huko mjini Kokomo kupinga uzuru wake. Vita aliyokuwa akipigana nayo na mifumo ya shule ilishtakiwa, na taarifa za matukio ya vyombo vya habari vimefanya suala la White kuwa mtu mashuhuri kitaifa na kuwa mwongeaji wa tafiti za UKIMWI na elimu kwa umma.
Ameonekana zaidi kwenye vyombo vya habari akiwa na watu maarufu kama vile Elton John, Michael Jackson na Phil Donahue. Kilicho-washangaza madaktari, White ameishi miaka mitano zaidi kuliko vile walivyomtabiria na alikufa mnamo mwezi wa Aprili 1990, mwaka mmoja kabla ya kumaliza sekondari.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.