Tuzo ya Nobel ya Tiba From Wikipedia, the free encyclopedia
Robert Horvitz (amezaliwa 8 Mei, 1947) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza msimbo wa kijenetikia. Mwaka wa 2002, pamoja na Sydney Brenner na John Sulston, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Horvitz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.