From Wikipedia, the free encyclopedia
Ripoti ya Fowler (imetolewa tarehe 14 Machi, 2000) ni ripoti ya Umoja wa Mataifa inayoelezea namna ambavyo makampuni mbalimbali, serikali za Afrika na Ulaya, ikiwa pamoja na chama cha siasa cha Angola na mshirika wake UNITA, walivyokiuka Itifaki ya Lusaka halkadhalika mapendekezo ya UM. Robert Fowler, balozi wa Canada katika Umoja wa Mataifa, aliongoza tume iliyosuka ripoti hiyo,[1] ambayo iliangazia kwa kina dukuduku la dunia nzima dhidi ya biashara ya almasi zenye mgogo na kuonesha viunganishi vikubwa vya biashara haramu ya almasi za damu.[2] Mapendekezo haya ndio yaliyozaa Mkataba wa Kimberley.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.