From Wikipedia, the free encyclopedia
Proteri (alifariki 28 Machi 457) alikuwa Patriarki wa Aleksandria tangu mwaka 451 hadi alipouawa kikatili katika vurugu iliyofanywa na Wakristo waliokataa maamuzi ya Mtaguso wa Kalsedonia[1][2].
Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini[3].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[4] au tarehe 28 Februari.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.