From Wikipedia, the free encyclopedia
Prospa wa Tarragona (kwa Kikatalunya: Pròsper; karne ya 7 - Camogli[1][2], Italia Kaskazini, 718) alikuwa askofu mkuu wa Tarragona, nchini Hispania, ambaye mwaka 711 alipaswa kukimbia nchi yake kutokana na uvamizi wa Waarabu [3].
Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Septemba[4].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.