From Wikipedia, the free encyclopedia
Port Said (kwa Kiarabu بورسعيد, inatafsirika kama Būr Saʻīd) ni mji wa nchi ya Misri, karibu kidogo na Mfereji wa Suez, ambao unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 500,000 waishio katika mji huo.
Jiji la Port Said | |
Mahali pa mji wa Port Said katika Misri |
|
Majiranukta: 31°15′0″N 32°17′0″E | |
Nchi | Misri |
---|---|
Mkoa | Port Said |
Tovuti: www.portsaid.gov.eg/ |
Mji wa Port Said, unasemekana kuwa na samaki wengi na viwanda. Viwanda vinavyopatikana huko ni pamoja na vya kampaundi, vyakula na sigara.
Port Said pia ni bandari muhimu kwa kusafirishia bidhaa za Misri kama vile pamba na mchele. Pia kuna kituo cha kujazia mafuta kwa meli ambazo zinapita kuelekea Suez.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Port Said kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.