From Wikipedia, the free encyclopedia
Bata bukini mabawa-kijani (Plectropterus gambensis) ni ndege wa maji na spishi pekee katika nusufamilia Plectropterinae ya familia Anatidae. Anatokea Afrika kusini kwa Sahara tu.
Bata bukini mabawa-kijani | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Bata bukini mabawa-kijani akijilisha | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Nususpishi 2:
| ||||||||||||||||
Ndege huyo ni ndege wa maji mkubwa kabisa duniani. Urefu wake ni sm 75-115 na uzito ni kg 4-6.8 (kwa nadra hadi kg 10). Madume ni wakubwa kuliko majike na nususpishi P. g. niger ni mdodo kuliko P. g. gambensis. Upana wa mabawa ni sm 150-200. Rangi yao inaonekana nyeusi kutoka mbali, lakini kutoka karibu mng'ao kijani unaweza kuonwa. Ndege akiruka mabaka makubwa meupe yanaonekana kwenye mbele ya mabawa. Domo na miguu ni myekundu na madume wana paji jekundu pia.
Makala hii kuhusu ndege fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bata bukini mabawa-kijani kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.