From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Sixtus V, O.F.M.Conv. (13 Desemba 1521 – 27 Agosti 1590) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Aprili/1 Mei 1585 hadi kifo chake[1]. Alitokea Grottammare, Ascoli Piceno, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Felice Peretti.
Alimfuata Papa Gregori XIII akafuatwa na Papa Urbano VII.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.