Papa Severino

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Severino

Papa Severino alikuwa Papa kuanzia Oktoba 638 au tarehe 28 Mei 640 hadi kifo chake tarehe 2 Agosti 640[1]. Alitokea Roma, Italia[2]. Jina la baba yake lilikuwa Abienus.

Thumb
Papa Severino.

Alimfuata Papa Honori I akafuatwa na Papa Yohane IV.

Ingawa Severino alikuwa amechaguliwa mnamo Oktoba 638, ilichukua zaidi ya mwaka mmoja na nusu kupata kibali cha Kaisari wa Bizanti.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.