Papa Sergio II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Sergio II alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Januari 844 hadi kifo chake tarehe 27 Januari 847[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Gregori IV akafuatwa na Papa Leo IV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.