From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Pius VII, O.S.B. (14 Agosti 1740 – 20 Agosti 1823) alikuwa Papa kuanzia tarehe 14/21 Machi 1800 hadi kifo chake[1]. Alitokea Cesena, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Barnaba Chiaramonti.
Alimfuata Papa Pius VI akafuatwa na Papa Leo XII.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.