From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Nikolasi II (alifariki 27 Julai 1061) alikuwa Papa kuanzia mwezi Desemba 1058 au tarehe 24 Januari 1059 hadi kifo chake[1]. Alitokea Burgundy, leo nchini Ufaransa[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gérard de Bourgogne.
Alimfuata Papa Stefano IX akafuatwa na Papa Alexander II.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.