Papa Innocent V
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Innocent V, O.P. (takriban 1225 – 22 Juni 1276) alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Januari/22 Februari 1276 hadi kifo chake[1]. Alitokea Savoie, leo nchini Ufaransa[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre de Tarentaise. Alikuwa mtawa wa shirika la Wahubiri.
Alimfuata Papa Gregori X akafuatwa na Papa Adrian V.
Tarehe 9 Machi 1898 Papa Leo XIII alimtangaza mwenye heri.
Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.